Wednesday, March 30, 2011

WAPIGANAJI WA MUAMMAR GADDAFI WAYARUDISHA NYUMA MAJESHI YA WAASI

Wapiganaji wa jeshi la kanali muammar gaddafi yamewarudisha nyuma waasi kwa kuwashambulia na kusababisha waasi hao kurudi nyuma katika mji wa Jawad majeshi hayo ya waasi yalisogea sana hizi siku za nyuma kwa kusaidiwa na majeshi ya umoja wa ulaya na marekani hali hiyo ya kuanza kurudishwa nyuma kwa waasi hao na majeshi ya gaddafi ni tokea wajumbe kutoka nchi mbalimbali kukutana mjini London kwenye mkutano wa kujadili mipango ya siku za mbeleni ya libya.

No comments:

Post a Comment