Tuesday, March 29, 2011

BREAKING NEWS....ZAHANATI NYINGINE KAMA YA LOLIONDO YAFUNGULIWA TABORA

Matibabu ya magonjwa sugu yazidi kuongezeka baada ya dada magreth mutalemwa mkaazi wa tabora alipoanza kutoa dozi ya kikombe dawa ambayo amesema kuwa ameoteshwa na bikira maria kutengeneza dawa hiyo na kupatia wagonjwa wenye magonjwa sugu huduma hiyo kwa ghalama ile ile ya babu wa loliondo ambayo ni shilingi mia tano 500 kwa kikombe na kujikusanyia watu wengi sana kutoka tabora mjini na vitongoji vyake  Dada magreth akiwaombea wagonjwa hao baada ya kupata dozi.
Picha na habari zaidi tembelea http://www.keronyingi.blogspot.com

No comments:

Post a Comment