Wednesday, March 30, 2011

KUTUMIA MABAVU KUMUONDOA KIONGOZI WA LIBYA NI MAKOSA

Raisi wa marekani Obama amesema kuwa kumuondoa kiongozi wa libya kwa kutumia maguvu ni kinyume na sheria na ni makosa. Awali Raisi huyo wa marekani alisema kuwa uamuzi wa kuidhinisha harakati za kijeshi kwa mara ya kwanza tokea ashike wadhifa wa kuwa raisi wa marekani  alisisitiza kuwa marekani imejihusisha kidogo sana katika harakati hizo nchini libya.

No comments:

Post a Comment