Timu ya simba leo itapambana na timu ya TP Mazembe ya huko DRC Congo katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam mpambano huo wa ligi ya mabingwa wa Afrika wakati timu ya simba itatakiwa kushinda magoli 2-0 au zaidi zidi ya TP Mazembe ushindi huo ni kutokana na simba kufungwa magoli 3-1 katika mechi ya mwanzo iliyochezwa huko DRC Congo. habari zaidi tembelea Michuzi
No comments:
Post a Comment