Habari za leo mabibi na mabwana wakubwa kwa wadogo wasomaji wa blog hii ya bongonl kwanza kabisa natanguliza kuomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwenye blog hii ya bongonl kwa kipindi kifupi hatukuweza kuwafikishia habari au matukio kama kawaida yake kutokana na matatizo madogo madogo ya kiufundi....bongonl inapenda kuwajulisha wasomaji wake kuwa muda mfupi ujao tutawaletea habari na matukio kama kawaida na inawatakia uvumilivu na maisha mema na yenye furaha.
Ahsanteni.
cool cidy bongonl.
No comments:
Post a Comment