Habari za leo mabibi na mabwana wadogo kwa wakubwa wasomaji wa blog hii ya bongonl kwanza kabisa natanguliza kuomba radhi kwa usumbufu uliopatikana kwa kipindi kifupi kutokana na matatizo madogo madogo bongonl haikuweza kuwafikishia habari au matukio kama kawaida Uongozi mzima wa blog hii ya bongonl inapenda kuwajulisha wasomaji wake kuwa baada ya muda mfupi mambo yatakuwa kama kawaida bongonl inawatakia uvumilivu na maisha mema na yenye furaha.
Ahsanteni sana...
Cool cidy bongonl.
No comments:
Post a Comment