Sunday, April 3, 2011

WEKUNDU WA MSIMBAZI YALALA KWA MAGOLI 3-2 ZIDI YA TP MAZEMBE YA DRC

Matokeo ya mechi kati ya timu ya simba ya jijini dar es salaam na TP Mazembe ya DRC  Congo ambazo zimepambana leo vikali katika uwanja wa taifa wa jijini dar es salaam na matokeo yake TP Mazembe kutoka uwanjani kifua mbele kwa kuibamiza simba kwa magoli 3-2.   habari zaidi tembelea michuzi

No comments:

Post a Comment