Sunday, April 3, 2011

Waombolezaji wakitoa heshima zao za mwisho kwa marehemu adam lusekelo nyumbani kwake ubungo jijini dar es salaam adam lusekelo alikuwa mwandishi wa habari mkongwe Bongonl inawapa pole familia na marafiki wa karibu wa marehemu katika kipindi hichi kigumu cha msiba.

No comments:

Post a Comment