Wednesday, April 13, 2011

NCHI ZA KIMATAIFA ZIMEPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA GADDAFI MADARAKANI

 Muungano mpya wa nchi za kimataifa zinazompinga Kanali Muammar Gaddafi zimetoa wito wa kutaka kiongozi huyo aachie madaraka, umoja huo umesema kuendelea kuwepo kwake kunatishia makubaliano yeyote yanayotarajiwa juu ya mgogoro nchini humo,na Walibya waruhusiwe kuamua wanayoyataka siku zijazo,
Wito huo umetolewa katika kauli ya mwisho iliyosomwa na mrithi wa kiti cha kifalme cha Qatar katika mkutano unaohusu Libya huko Doha.  (Habari zaidi na BBCSWAHILI)

No comments:

Post a Comment