Sunday, April 10, 2011

KAMATI YA HALMASHAURI KUU YA CCM YAVUNJWA WENGINE WAMWAGWA WENGINE WAULA ......

Kikao Cha Halmashauri Kuu ya ccm kinachoendelea huko Dodoma huku kikiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Mh.Mrisho Jakaya Kikwete ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania leo hii kikao hicho kimepitisha majina mapya ya uongozi wa chama hicho majina hayo ni pamoja na Katibu mkuu wa chama hicho cha ccm ambayo imechukuliwa na Bw.Wilson Mukama wakati hapo awali nafasi hiyo ilikuwa imeshikwa na Bw.Yusuf Makamba nafasi nyingine ni Naibu Katibu Mkuu Bara ambaye imeshikwa na Bw.Abdulrahman Kinana na nafasi ya Katibu wa Itikadi imechukuliwa na Nape Nnauye na Bi Zakhia Mengji akishika nafasi ya Katibu wa Uchumi na Fedha wakati Nafasi nyingine ni pamoja na Katibu wa maandalizi ambayo imechukuliwa na Bi.Rehema Nchimbi..(habari na picha Francis Godwin wa matukio)

No comments:

Post a Comment