Friday, March 18, 2011

UMOJA WA MATAIFA WAMBANA MUAMAR GADDAFI

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limepitisha makubaliano yanayoidhinisha kuchukuliwa kwa hatua za kuwalinda raia wa nchini libya dhidi ya mashumbulizi ya wanajeshi wa muamar gaddafi.

No comments:

Post a Comment