Friday, March 18, 2011

SASA USAFIRI WA KUELEKEA KWA BABU MAMBO MSWANO

Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini, (Sumatra), limeanza kutoa leseni za muda kwa wenye magari ya kusafirisha abiria wa kwenda Samunge, Loliondo, kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapila, kwa kuwa suala hilo ni la dharura.

No comments:

Post a Comment