Wednesday, March 23, 2011

MIILI YA WANAMUZIKI WA KIKUNDI CHA TAARAB CHA FIVE STARS KUWASILI DAR

Polisi wakiongoza msafara wa magari yaliyobeba miili ya maiti za wanamuziki wa kikundi cha taarab cha five stars waliopata ajali huko mikumi mkoani morogoro juzi usiku baada ya gari lao lilipogongana na lori na kusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi 9.
picha zote
http://www.francisgodwin.blogspot.com

1 comment: