Friday, March 25, 2011

MAJESHI YA NATO SASA KUFANYA ULINZI WA ANGA NCHINI LIBYA

Majeshi ya shirika la kujihami la NATO limekubali kushika nafasi ya majeshi ya umoja wa ulaya na marekani kwa kufanya ulinzi wa anga ya libya ili kuhakikisha hakuna ndege ya jeshi la kanali muammar gaddafi itakayoruka nchini humo makubaliano hayo yamepitishwa kwenye kikao cha shirika hilo kilichofanywa nchini beljigi

No comments:

Post a Comment