Wednesday, April 6, 2011

BUNGE KUANZA MKUTANO WAKE WA TATU JANA MJINI DODOMA

Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akiwa anaingia ndani ya ukumbi wa bunge kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa bunge hapo jana mjini dodoma.

No comments:

Post a Comment