Majeshi ya ufaransa na uingereza leo yameshambulia kwa makombora maeneo muhimu ya libya maeneo hayo ni pamoja na maghala ya kuhifadhia siraha na viwanja vya kurukia ndege vya libya lengo la mashambulio hayo ni kudhibiti majeshi ya kanali muammar gaddafi kuendelea kushambulia waasi wanaoshikilia mji wa benghazi.
No comments:
Post a Comment