Juu na chini vikosi vya simba na yanga veteran leo wamepambana vikali na matokeo yake simba kutoka uwanjani kifua mbele kwa kuibamiza yanga goli 1-0 mechi hiyo iliyochezwa uwanja wa taifa jijini dar-es-salaam ambapo goli hilo lililofungwa na mchezaji Shekhan Rashid wa timu ya simba.
No comments:
Post a Comment