Monday, March 28, 2011

MUONGOZA JAHAZI WA SWAHILIVILLA BLOG APATA BABY BOY

Bongonl na wana jamii wengine tunajiunga kwa pamoja katika kumpongeza ndugu yetu Abou Shatry muongoza jahazi wa swahilivilla kwa kupata mtoto wa kiume kheri na baraka zimfikie mtoto wetu ameen.

1 comment:

  1. Hongera sana ndugu kwa kupata mtoto mungu akuwekee

    ReplyDelete