Saturday, March 19, 2011

MADEGE YA JESHI LA UFARANSA YATANDA ANGA YA LIBYA

Ndege za kijeshi za ufaransa zimeanza kutanda anga ya libya ili kuzuia majeshi yanatomtii kiongozi wa libya kanali muammar gaddafi kushambulia waasi wanaoshikilia mji wa benghazi

1 comment: