Makazi ya majeshi ya libya jana yameshambuliwa kwa makombora na kusababisha uharibifu mkubwa habari zaidi kuhusu vita zidi ya utawala wa kanali gaddafi zinasema shambulizi hilo lilolofanywa na majeshi ya umoja wa nchi za ulaya na amerika kwa lengo la kumuondoa kiongozi huyo wa libya madarakani kwa upande wa msemaji wa jeshi la marekani alisema kuwa shambulio hilo halijakusudiwa kumshambulia raisi huyo wa libya na kwa upande wa raisi wa libya kanali muammar gaddafi ameshutumu mashambulio hayo kuwa ni ya kinyama na kigaidi na kuahidi kujiandaa kwa vita vya muda mrefu zidi ya upinzani na aliongeza kuwa vita zidi yake ni vita vyenye lengo la kuiba mafuta ya libya na kusisitiza kuwa umoja huo wa ulaya na amerika kamwe hawatofaidi mafuta ya libya
No comments:
Post a Comment