Thursday, March 17, 2011

KWA BABU MAMBO YANAZIDI KUWA MOTO


Baadhi ya wafanya biashara waanza kukodi Helikopta kwajili ya kuwafikisha kijiji cha samunge kwa babu mchungaji ambilikile kwaajili ya kupata dozi hali hiyo imejionyesha jana baada ya mfanyabishara Hans Macha kukodi helikopta kwaajili ya kuwafikisha familia yake ili kupata huduma za matibabu zinazopatikana kwa mchungaji huyo.

No comments:

Post a Comment