Thursday, March 17, 2011

GADDAFI AWAONYA VIKALI WAASI WA MJI WA BENGHAZI


Rais wa libya Gaddafi leo wamewaonya vikali waasi wa mji wa benghazi, na kuwataka wawasilishe siraha zao kabla ya mavamizi ya kijeshi hayajavamia mji wa benghazi usiku wa leo,
Rais gaddafi ameongeza kuwa msako mkali utafanywa nyumba hadi nyumba mtaa hadi mtaa kuhakikisha siraha zote zinazomilikiwa na waasi zinakamatwa na wamiliki wa siraha hizo kuchukuliwa hatua za kisheria.

No comments:

Post a Comment